Sifa zako By Fredrico Kadara

95
Sifa zako By Fredrico Kadara

Sifa zako By Fredrico Kadara, fresh new single from Tanzania singer, song writer and performing artist titled Sifa zako song produced by Ap Made.Download and enjoy!!

Sifa zako By Fredrico Kadara

Song Lyrics Below

Intro
Ahaaa!

Verse 1
Neno lako tumaini, lakufika nilipo/
Kauri zako nikaziamini, ndo maana gizani sipo/
Yasioonekana kwa macho, umenifanya niyaone/
Kiakiri, kimwili na kiroho, umenifanya nipone/
Sio mnyimi, unaendelea kunipa nikuombacho/
Umenipa ulimi, ngojea nikusifu kiumbe chako/
Uliumba hukuumbwa, Jehova hukufinyangwa ulifinyanga/
Bila kuombwa, milangoni mwetu unagonga/
Huna ubaguzi, mbaya nae anakuomba/
Anamsikiliza mchokozi, na yeyote afanikiwe alichomwomba/
Waajabu he loves his people uncondion/
He turns darkiness ways to right one/
He gives his people a bright sight/
He pulls us from evil direction to right/
Bila kumuuliza, lolote anakujibu/
Hata ukimpuuza, kwako hawi bubu/
Yeah!

Chorus

Hizi hizi hizi sifa zako
Hizi hizi hizi sifa zako
Hizi hizi hizi sifa zako
Sifa zako sifa zako x 2

Verse 2

Hana kosa kubwa, wala dogo anasamehe/
Ukimkosea ukitubu, hana hiana anakusamehe/
My life is my plan, Lord plans with me/
For every step I step on, please be with me/
Rescue me from evil trap, Lord just be with me/
Pekeako ndio unaeujua mwisho wangu/
Kwangu kusudi lako, unalifahamu Mungu/
Hakuna dhidi yako, anaeujua ukweli wangu/
Shuruba ninazozipata unazifahamu, utatuzi unao wewe/
Wanapo nidharau binadamu, sijari coz niko nawe/
Unaniokota nikianguka, nikizama dhambini uniokoe/
Kesho yangu yakutabasamu, Mungu unaifahamu/
Siku yakula vitamu, wewe ndie utakaenipa/
Ninacho sina, kipindi sikuanacho hukunitupa/
Upendo wakinafki huna, hukunikwepa binadamu waliponikwepa/
Hukunikimbia ulikuwa nami, nyakati zote na zakunuka kwapa/
Ukimwamini anakuondoa kwenye majaribu/
Usichokijua anakujuza, ukikosea utubu/
Hutibu lakini yeye ni zaidi ya tabibu/
Aaah.

Chorus

Hizi hizi hizi sifa zako
Hizi hizi hizi sifa zako
Hizi hizi hizi sifa zako
Sifa zako sifa zako x 2

Yeye ndie anaekujua zaidi ya unavyojijua na wanavyokujua/
Unyao wako utakapotaka kupakanyaga anapajua/
Kabla hujazaliwa anakufahamu na mwisho wako anaujua/
Hizo ndizo sifa zako Allah/
Yeah!